mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wanazi wanakwambia hao wawili ni bora kuliko CR7 ndan ya madridBahati yenu imepotea nafikiri inabidi muache wazee wawili Modric na Ramos ndiyo walikuwa uchochoro Jana
Si ajabu Wajapani hawa na mivolkeno yao...
Aisee. Siku hizi modereta wapole hata ban hawagawi hovyo hovyo kama zamani...PAW atumbuliwa u moderator - JamiiForums
Kwa haraka haraka nilivyochunguza nimeona jamaa PAW ametumbuliwa cheo chake cha u moderator kwa sasa atabaki kuwa member wa kawaida kama sisi wengine. Ila mpaka sasa ninajiuliza sijui jamaa amevunja sheria za u moderator au sijui wameshindwana malipo na bwana Melo...www.jamiiforums.com
Maisha ya hatihati....
Sijambo. Habari yako?Hujambo mamiii
...bati ai swea iti wozi ini selfu difensi....I shot the sherif
Si ajabu na hela wamelipa. Wazungu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hana tofauti na akina Tito na Mashimo huyu. Nashangaa kwa nini hakamatwiSielewi huyu mtu anapata wapi ujasiri wa kuongea haya inawezekana kweli anapata favor kutoka magogoniView attachment 1164201