Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema bro....Usiwe Tomaso bro
Vipi kumekuchaje huko ???
Anasema eti mambo mazuri hayataki harakaUmemwambia akuoe usiwe unamlaumu bure?
😀 😀 😀 😀 😀 hujambo
Hawasemagi...Umemwambia akuoe usiwe unamlaumu bure?
Jumamosi powa.Akili kichwani mwao!
Me sijambo,vipi we jumamosi yako?
Ila ilikuwa lazima tumpige nduli..
Nice.Jumamosi powa.
Asante kwa kututembelea huku leo
Wakatalunya wanavyomtetea mpaka utashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Vita kweli siyo lelemama haijalishi una silaha za aina gani. Ona Wamarekani na mtanange wao na Mataliban. Miaka 18 sasa na wanaendelea kuuliwa tu....maelfu ya raia wasio na hatia. Watoto. Akinamama. Hovyo kabisaHakukua na namna Kamanda.
Kamanda siku inatangazwa vita nilimsikia Nyerere akiyasema hayo kwa hisia baada ya wazee wa Dar Kushangilia kutangazwa vita.
"Sababu ya kumpiga tunayo, wezo wa kumpiga tunao, Nia ya kumpiga tunayo" wazee wa Dar wakashangilia kwa nguvu ndani ya Diamond Jubilee, ukumbi ukazizima.
Kisha Mwalimu akauiliza kwa hasira na hamaki, "Mnashangilia vita? Vita siyo lelemama" wazee wakapoa, ukumbi ukatulia, wazee wakapoa kama wamepigwa sindano ya ganzi.
Kimyaaa.
Hatimaye tukaja kuona kweli vita siyo LELEMAMA
Wa usiku wa manane au upi huo?Nice.
Hila umepotea kwenye ule uzi mwingine
Huku kwema bro....
Binadamu lazima awe na kaubaya ubaya fulani hivi ndo akamilike.
Ina maana kwa sasa hata ukichapiwa ni poa tu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndio.Wa usiku wa manane au upi huo?
Mi nampendea tu upole wake. Yule mwingine rafiki yake na Esta mbwembwe nyingi utafikiri amegundua dawa ya kifo [emoji16][emoji16][emoji16]Kamanda mi siyo mkalunya lakini huyu jamaa namkubali sana kuliko hata Ronaldo.
Bint mpole vumilia kidogo[emoji23][emoji23][emoji849][emoji849]
Anasema eti mambo mazuri hayataki haraka
Asante bro...Of course nimeshajiwekea nadhiri nikiwa na ushahidi nachapiwa in the future, hata kibao simpigi yeyote kati yao, nitakachofanya nikujifanyia personal assessment wapi nafeli then naendelea na maisha
Nikiona naweza kupata suluhu nafanya hivyo nikiona siwezi pata naachana nayo
Kaubaya kapo kadogo ila nipo mbioni kukamaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi ukijidanganya eti mambo mazuri hayataki haraka hata demu mrembo hupati [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe unamtazamo gani ni kweli mambo mazuri hayataki haraka,
Au Ngoja Ngoja uumiza matumbo ?
Mkuu A na B yote yaweza kuwa majibu.Wewe unamtazamo gani ni kweli mambo mazuri hayataki haraka,
Au Ngoja Ngoja uumiza matumbo ?