Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

B
FB_IMG_1564225050532.jpeg
 
Huku kwema kamanda, mchana kijua, usiku kibaridi, maisha yanasonga kulifuta Kaburi
Hatuna la kufanya. Hatukuichagua safari hii ndefu lakini yenyewe ndiyo iliyotuchagua. Hatuna budi kuisafiri tu kwa sababu hakuna namna. Mungu na Atusaidie tuendelee kusafiri salama mpaka tutakapofikia kikomo chetu...
 
Back
Top Bottom