Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1564180856855.jpeg
 
Halafu hawa Wamarekani siku zote vita wanapigania ugenini, waruhusu vita vipiganwe ndani ya ardhi yao wakione cha moto
Vita kweli siyo lelemama haijalishi una silaha za aina gani. Ona Wamarekani na mtanange wao na Mataliban. Miaka 18 sasa na wanaendelea kuuliwa tu....maelfu ya raia wasio na hatia. Watoto. Akinamama. Hovyo kabisa
 
Usiamini kila kitaarifu popu (Pop notification)

Mara nyingi umewahi kuona kitaarifu popu kikitokea unapotembelea tovuti fulani. Vitaarifu hivi hukutaka kusasisha ama kuweka flash player au kikikuambia kuna virusi kwenye kifaa chako. Katu usiviamini hivi kwani mara nyingi hutumika kudanganya watu ili waingize program fulani kwenye vifaa vyao ambazo zinaweza kuwa chanzo cha virusi au kudukulia.
 
Back
Top Bottom