Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564219458713.jpeg
 
Watu ovyo sana...
Wenyewe wanaogopa vita lakini siku zote kazi yao kuchonganisha watu wapigane , Shwaini zao
Kwao thubutuuuu. Waoga hawa halafu mayai balaa. Umeme tu ukikatika hata kwa lisaa limoja wanahaha balaa. Kuna kipindi Hurricane ilipita umeme ukakatika karibu wiki 2 walikuwa wanadondoka kama kuku. Ndiyo vita vimewaka mtanange kabisa aaa wapi. Hawataweza. Wao kazi yao kupeleka "demokrasia" yao hukoo kwenye nchi zenye mafuta na raslimali zingine wanazozitaka; ili watu wao waendelee kuishi kwa raha na kufakamia raslimali za dunia.
 
Back
Top Bottom