Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564219601295.jpeg
 
Nipunguze kuja hapa ili niende wapi kamanda?
Majukwaa kama siasa kila nikipita nakuta jazba za watu wenye hasira ya maisha, povu, matusi nk.
Nadhani hapa ni mahali sahihi ambapo unaweza kuweka kambi kisha ukapitapita maeneo mengine
Baada ya kugonga post milioni moja, kuna haja ya kupunguza kutembelea uzi huu sasa. Itakuwa Mission Accomplished [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom