Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,104
- 9,116
Mimi na serenget lite yangu pembeni hapa nafuatilia [emoji1787]Hahahaha...
Mi nina kikombe changu cha kahawa na kashata za ufuta nafutilia mtililiko[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na serenget lite yangu pembeni hapa nafuatilia [emoji1787]Hahahaha...
Mi nina kikombe changu cha kahawa na kashata za ufuta nafutilia mtililiko[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe siko peke yangu! Maana nakodoa wee lkn wapiNaona nyie wakongwe wa uzi ndio mnaelewa vizuri mimi nimeachwa
Akaanza kuandika maneno kunichokonoa .. nikasema hili shetani nilikimbie nilitie hasira.. na mimi sitaki kutenda dhambi kisa fisadi.
Mimi na serenget lite yangu pembeni hapa nafuatilia [emoji1787]
Naona nyie wakongwe wa uzi ndio mnaelewa vizuri mimi nimeachwa
akawa ananisaka kule alipoanza kuulizwa kubwabwaja akapunguza.. hadi kesho anauchungu wa maisha yake.. wivu umemjaa pia
Nikawa nikimchungulia humu nikaona aandiki tena upuuzi na kule hadi leo anaisoma namba. Na humu kuiingia kama mwehu..
Hahah! Kiatu hakitutoshi wacha tuwaachie wakongweKumbe siko peke yangu! Maana nakodoa wee lkn wapi
Hahah! Bro leo unanifurahisha sanaEbhanae
Kwakweli.. maana nimetoka kapaHahah! Kiatu hakitutoshi wacha tuwaachie wakongwe