Enhee...Yeye yupo nje ya nchi kwa jinsi alivyokuwa anaandika JF zamani..
Maisha Safari
Sawa....Hata hakujua mimi nipo vizuriii kunoti IDs na wanayoandika tangu zamani.. nikiamua.
Waliokufa wamemaliza tayari
Enhee...Akatoka huko na kunisoma nikiwa mimi
Kwao thubutuuuu. Waoga hawa halafu mayai balaa. Umeme tu ukikatika hata kwa lisaa limoja wanahaha balaa. Kuna kipindi Hurricane ilipita umeme ukakatika karibu wiki 2 walikuwa wanadondoka kama kuku. Ndiyo vita vimewaka mtanange kabisa aaa wapi. Hawataweza. Wao kazi yao kupeleka "demokrasia" yao hukoo kwenye nchi zenye mafuta na raslimali zingine wanazozitaka; ili watu wao waendelee kuishi kwa raha na kufakamia raslimali za dunia.
Ni jua linapatwa au nini?