Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nash yuko vzuri hata Mbishi anafanya poa...Mara nying napenda kusikilza ngoma za kitambo za sku hz nyng miyeyusho

Qn;J.Cole vs Kendrick Lamar who is best for u?

Si wewe Tu Mkuu Mimi pia nasikiliza za kitambo kuliko current nyingi haziko, katika misingi

Swali gumu sana hilo sababu hao watu wote wawili ni Real MCs yaani tofauti zao ndogo sana

Wote wanasimama kwenye Nguzo

Wote wako Real, sio watafutaji kiki Wote wanauza sana album zao pale tu wanapozitoa wakiwa jukwaani ndiyo balaa

Ila Mimi namchagua J- Cole [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok, ila ulipaswa uliseme tangu pale mwanzo maana ndani ya uzi huu kuna watu wa itikadi tofauti, dini tofauti na huko nyuma tulikubaliana kuachana kabisa na mambo siasa na udini kwa maslahi ya uzi huu.
Suala hilo lilileta sintofahamu pale mwanzo lakini tulipozoea tukaishi kwa kuheshimiana.
Kwamba unaweza kuongea mambo ya siasa lakini siyo kwa kiwango cha jukwaa la siasa. Jambo hilo limeleta ndani heshima uzi huu ndiyo maana nashangaa uliwezaje kukaa kimya kwenye mambo kama hayo
Bado yumo mule hadi kesho.. na alikuwepo kabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…