Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni King na kale kagumu ndo uliwaruhusu wakafanya uharibifu huo?

Ngoja nijipange nije nikuhamishie Aseno. Mwaka huu tuko vizuri sana. Hutajuta kamwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eeh huyo huyo,



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


#Arsenalnitakonda
 
Endapo dili la usajili wa Neymar litafanikiwa bila ya kuhusisha ishu ya kubadilishana wachezaji, safu ya ushambuliaji ya miamba hao wa La Liga itakuwa na watu wengi wa kugombea namba. Kutakuwa na Neymar, Lionel Messi, Luis Suarez, Ousmane Dembele na Malcolm ilhali nafasi za kucheza pale mbele ni tatu tu.
 
Kusajiliwa kwa Frenkie de Jong kumeongeza idadi ya nyota wa nafasi ya kiungo katika kikosi hicho na ni wazi kwamba kocha Ernesto Valverde atapasuka kichwa katika kuamua nani aanze na gumu zaidi ya yote itakuwa ni kuhakikisha kila mmoja anakuwa na furaha.
 
Haya mashindano ya 1 million yalikuaje bro?Nimepitwa...
Yamekwenda vyema na jirani yetu mpole asiye na ishu na mtu myoyambendi ndiye kaibuka kidedea. Kila mtu ana umuhimu wake bro. Pole wa kwenye daladala. Pole mnaolea majumbani. Pole ambao hamkushinda. Upendo wetu udumu bro [emoji109][emoji109][emoji16][emoji16]
 
Nimemjua mshindi ila sijaelewa yalianzaje.
 
Sergio Busquets

Anaingia katika msimu mpya akitokea kwa msimu wake mbaya zaidi tangu ametua Barcelona, lakini yeye bado ni mmoja wa wachezaji wanaoijua staili ya timu hiyo nje ndani na ni mtu ambaye anachukuliwa kuwa hana mpinzani kwenye suala la kuanza katika eneo la kiungo pale Camp Nou.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…