Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu wa Man City ndo wamekuchukua au mpambano uliishia wapi? Mimi nataka nipambane nikuhamishie Arsenal. Kuna uwezekano au Man United nao wapo wanakusubirisha?Salama pia mamii.
Watu wa Man City ndo wamekuchukua au mpambano uliishia wapi? Mimi nataka nipambane nikuhamishie Arsenal. Kuna uwezekano au Man United nao wapo wanakusubirisha?Salama pia mamii.
Watu kwa kupenda ubuyuTayari nimenunua Popcorn
HahahahahaDuh!!
Makanisa haya ya kisasa bro yanaharibu sana ndoa. Walokole hawa wakimkamata mkeo sawasawa basi we mume huna chako. Imagine watu wanapangiwa mpaka staili za kugegedana. Eti kifo cha mende ndiyo staili ya kiBiblia na hizi zingine zijui dogii mara mbuzi kagoma hizo ni za shetani. Imagine unataka kumgeuza mkeo ulee dogii kwa raha zako anaanza kukemea "shetani ushindwe kwa jina la Yesu"...Shida tupu yaani...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Makanisa haya ya kisasa bro yanaharibu sana ndoa. Walokole hawa wakimkamata mkeo sawasawa basi we mume huna chako. Imagine watu wanapangiwa mpaka staili za kugegedana. Eti kifo cha mende ndiyo staili ya kiBiblia na hizi zingine zijui dogii mara mbuzi kagoma hizo ni za shetani. Imagine unataka kumgeuza mkeo ulee dogii kwa raha zako anaanza kukemea "shetani ushindwe kwa jina la Yesu"...Shida tupu yaani...
Mi nikioganaizi itadoda...
Nitaleta mamisambwanda ili mabro wafurahie...na wengine mtakereka.
Organize wewe. Najua itakuwa high class balaa...
View attachment 1164908
Hatari sana bro.Motivational speakers hawa na hawa wachungaji uchwara waliogeuka wataalamu wa ndoa badala ya kukazania injili ya wokovu huko makanisani ni shida. Rafiki yangu mmoja anampenda kweli mke wake lakini shida ni huko kanisani kwao. Eti wameambiwa hela za mwanamke ni za Mungu na hazipaswi kamwe kutumika katika familia. Basi mke akipata mshahara karibu wote unaishia kanisani huko. Ndani mke haonekani yaani semina hata ziko Mwanza atasafiri kutoka Dar kuhudhuria. Ndoa inakaribia kufa hivi hivi yaani...
Watu wa Man city walishinda wakafanikiwa kunichukua......[emoji4][emoji6]Watu wa Man City ndo wamekuchukua au mpambano uliishia wapi? Mimi nataka nipambane nikuhamishie Arsenal. Kuna uwezekano au Man United nao wapo wanakusubirisha?
Ila jirani leo Ningekuwa hayo maeneo yako ya baridi hayo tungekesha leo tukisherehekea ushindi wako wa 1 million...Usiku wa 'misambwada'
Kheri ya kuzaliwa bro!!!kila la kheri kwenye hitajika lako bro,Mungu akusimamie....Double id
Why are you having double id?
😂😂😂😂 😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂Unatuchanganya Mpaka hatujui una Rap au Una Rape [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni King na kale kagumu ndo uliwaruhusu wakafanya uharibifu huo?Watu wa Man city walishinda wakafanikiwa kunichukua......[emoji4][emoji6]
Kweli unashabikia Arsenal?
Kheri ya kuzaliwa bro!!!kila la kheri kwenye hitajika lako bro,Mungu akusimamie....
The miracle man [emoji122][emoji122][emoji122]
Mungu anisaidie tu, nimeamua kujihubiria mwenyewe kila siku kila saa, Biblia i ubavuni mwangu.
Zimeanzishwa jumuia kwenye makanisa ni kero. Kama haukwenda kanisani wanakuja kudai sadaka nyumbani. Hata utoe sadaka zote na fungu la kumi uligeuze liwe fungu la mia kama haujajiunga na jumuia kanisa halikutambui. Ukifa shauri yako na "ba kipanga",lasivyo jenga urafiki na maboda boda ili likikukuta la kukuta wakuimbie 'parapanda..... '
Happy birthday to you bro Cole Williams .Leo Masherehe tu SYB organaizi something
View attachment 1164891
Watu wa Man City ndo wamekuchukua au mpambano uliishia wapi? Mimi nataka nipambane nikuhamishie Arsenal. Kuna uwezekano au Man United nao wapo wanakusubirisha?
Sikuiona hii postLeo Masherehe tu SYB organaizi something
View attachment 1164891
Haya mashindano ya 1 million yalikuaje bro?Nimepitwa...Ila jirani leo Ningekuwa hayo maeneo yako ya baridi hayo tungekesha leo tukisherehekea ushindi wako wa 1 million...
View attachment 1164918