Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Motivational speakers hawa na hawa wachungaji uchwara waliogeuka wataalamu wa ndoa badala ya kukazania injili ya wokovu huko makanisani ni shida. Rafiki yangu mmoja anampenda kweli mke wake lakini shida ni huko kanisani kwao. Eti wameambiwa hela za mwanamke ni za Mungu na hazipaswi kamwe kutumika katika familia. Basi mke akipata mshahara karibu wote unaishia kanisani huko. Ndani mke haonekani yaani semina hata ziko Mwanza atasafiri kutoka Dar kuhudhuria. Ndoa inakaribia kufa hivi hivi yaani...
Eti raha ya uji mauno [emoji16][emoji16][emoji16]Unastahili nafasi hii mkuu,hongera sana
#Kilamtuanaumuhimuwake
#rahayaujimauno
Dah mkuu nimecheka sanaUshauri wa Bure..View attachment 1164514
Nani amepata hiyo jamani ndio narudi kundini mida hii1,000,000 hiyoooooo
999,999 ipo poa pia na hii
1,000,001
[emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahahaNitaijaribu hii business model...
Mrejesho nitaleta...
Salama pia mamii.Inaenda vizuri...vipi kwa upande wako?
Makanisa haya ya kisasa bro yanaharibu sana ndoa. Walokole hawa wakimkamata mkeo sawasawa basi we mume huna chako. Imagine watu wanapangiwa mpaka staili za kugegedana. Eti kifo cha mende ndiyo staili ya kiBiblia na hizi zingine zijui dogii mara mbuzi kagoma hizo ni za shetani. Imagine unataka kumgeuza mkeo ulee dogii kwa raha zako anaanza kukemea "shetani ushindwe kwa jina la Yesu"...Shida tupu yaani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kama mazuri
Mrejesho muhimu[emoji23][emoji23][emoji23] Fanya hivyo kamanda, tusiache fursa zitupite
HBD Bro...Leo Masherehe tu SYB organaizi something
View attachment 1164891
Hahahahahaha
Asante sanaWakulima poleni sana
Kipi hichoKabla ya post ya 1m
naandika kilichoniondoa humu
Mi nikioganaizi itadoda...Leo Masherehe tu SYB organaizi something
View attachment 1164891
Mungu anisaidie tu, nimeamua kujihubiria mwenyewe kila siku kila saa, Biblia i ubavuni mwangu.Motivational speakers hawa na hawa wachungaji uchwara waliogeuka wataalamu wa ndoa badala ya kukazania injili ya wokovu huko makanisani ni shida. Rafiki yangu mmoja anampenda kweli mke wake lakini shida ni huko kanisani kwao. Eti wameambiwa hela za mwanamke ni za Mungu na hazipaswi kamwe kutumika katika familia. Basi mke akipata mshahara karibu wote unaishia kanisani huko. Ndani mke haonekani yaani semina hata ziko Mwanza atasafiri kutoka Dar kuhudhuria. Ndoa inakaribia kufa hivi hivi yaani...
Mkuu unasubiri ubuyuEnhee...
Indeed![]()
Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe
Atavunja ndoa nyingi sana kwa kujifanya anataka kumaliza/kuondoa mfumo dume. Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Munguwww.jamiiforums.com
HahahahahaEnhee...
Astaghfirullah...Bat waiii wanajianika laiki zisi!Mi nikioganaizi itadoda...
Nitaleta mamisambwanda ili mabro wafurahie...na wengine mtakereka.
Organize wewe. Najua itakuwa high class balaa...
View attachment 1164908