Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Humu ndani kuna mwana CCM Kitandakindaki ana jazba kwelikweli lakini tumeishi naye.
Humu kuna mwana CHADEMA Kitandakindaki naye pia tumeishi naye kwa furaha.
Watu wakiwa hapa siku zote wamekuwa tofauti kabisa, wanaongea lugha moja, tofauti zao wanaziacha kwenye majukwaa mengine. Kuwa amani mkuu

Ila huyo hafiti humo kabisaaaaa... eeeeh
 
Mtu mwingine aliyeshuhudia tukio hilo alisema: “Walipoona wafanyakazi wa mgahawa wameanza kutoka nje waligeuka na kukimbia. Polisi waliwasili baadaye na barabara zote za eneo hilo zilifungwa. Lilikuwa tukio la kushangaza sana. Hauwezi kutazamia tukio kama hilo likitokea muda wowote ule, sanasana mchana.”
 
Wakati Ozil alifanikiwa kutoroka katika gari hilo na kujificha katika mgahawa maarufu wa Kituruki ujulikanao kwa jina la Likya, Kolasinac ambaye anafahamika kwa jina la ‘The Tank’ kutokana na umbile lake kubwa aliamua kupambana na majambazi hao.
 
Video ambayo baadaye ilisambaa katika mitandao ya kijamii ilimuonyesha Kolasinac ambaye ni staa wa kimataifa wa Bosnia na rafiki mkubwa wa Ozil katika kikosi cha Arsenal akipambana kwa kupigana ngumi na mmoja kati ya watekaji hao ambaye alikuwa na kisu mkononi.
 
Baadaye majambazi hao waliondoka baada ya mmoja kati ya wafanyakazi wa mgahawa huo kwenda kumsaidia Kolasinac katika ugomvi huo, na polisi waliwasili baadaye na kufunga njia kwa ajili ya kuanza kuwasaka watu hao.
 
Polisi waliitwa Platts Lane, NW3, muda mfupi kabla ya saa 11 jioni Alhamisi, Julai 25, baada ya kuripotiwa kuwepo tukio la utekaji. Imeripotiwa watuhumiwa wakiwa na pikipiki walikuwa wanajaribu kumpora gari mtu aliyekuwa anaendesha. Dereva pamoja na abiria wake walifanikiwa kutoroka kuelekea katika mgahawa mmoja eneo la Golders Green, ambapo waliongea na maofisa wa polisi. Hakuna mtu anayeshikiliwa mpaka sasa,” ilisema taarifa hiyo ya polisi.
 
Mtunza fedha wa mgahawa huo, Azuka Alintah, 36, ambaye alishuhudia tukio hilo alisema: “Ulikuwa ni wendawazimu sana. Gari la Ozil liliachwa katikati ya barabara huku milango ikiwa wazi. Ozil alionekana kuwa na wasiwasi kama ambavyo kila mtu angekuwa na wasiwasi baada ya kufukuzwa na wanaume wenye visu.”
 
Alionekana akiokoa maisha yake. Nadhani ilikuwa hivyo. Nilimuona akitokomea katika mgahawa huku majambazi wakimkimbiza. Hawakuvua helmets zao na wote walikuwa wamevaa nguo nyeusi zilizofunika miili yao. Mungu anajua ambacho kingetokea kama wangemkamata.”
 
Back
Top Bottom