moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dah mkuu nimecheka sana
Mrejesho muhimu
Yamekwenda vyema na jirani yetu mpole asiye na ishu na mtu myoyambendi ndiye kaibuka kidedea. Kila mtu ana umuhimu wake bro. Pole wa kwenye daladala. Pole mnaolea majumbani. Pole ambao hamkushinda. Upendo wetu udumu bro [emoji109][emoji109][emoji16][emoji16]
Jana watu tulilala mapema kwasababu tulichoka sana na zile mbio za Mwenge [emoji3]