Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

John Cena Pamoja Na Aron Taylor-Johnson...Kwa Pamoja Wakiongoza Katika Mchongo Huu...Ilitoka Mwaka 2017, Ni Mojawapo Ya Filamu Kali Sana.
-
Ubunifu Wa Hali Ya Juu, Asilimia 90% Setting Ilikuwa Ni Moja Tu.

Ninachokumbuka Ni Wanajeshi Wawili Wa Kimarekani Walikuwa Trapped'
-
Walikuwa Wamejificha Kwenye Ka Ukuta Fulani Ka Kawaida Tu, Walijificha Sababu Ya Sniper' Mmoja Wa Iraq'
-
Yani Huyo Sniper' Jifanye Kama Unajikuna Tu Unalo...John Cena Alikufa Akabaki Aron...Mziki Mnene Ukawa Hapo, Jamaa Alikaa Hapo Akihangaika Kama Siku Kadhaa' -
Maana Kila Akijaribu kuzoom Kujua Yupo Eneo Gani Huyo Sniper' Hamuoni Ila Akijikuna Tu Anastukia Kitu' Hahah...Usaidizi Ulikuja Lakini Ndani Ya Dakika Mbili, Viuno Vilitenguliwa..Shingo N.K
images%20(5).jpeg
 
John Cena Pamoja Na Aron Taylor-Johnson...Kwa Pamoja Wakiongoza Katika Mchongo Huu...Ilitoka Mwaka 2017, Ni Mojawapo Ya Filamu Kali Sana.
-
Ubunifu Wa Hali Ya Juu, Asilimia 90% Setting Ilikuwa Ni Moja Tu.

Ninachokumbuka Ni Wanajeshi Wawili Wa Kimarekani Walikuwa Trapped'
-
Walikuwa Wamejificha Kwenye Ka Ukuta Fulani Ka Kawaida Tu, Walijificha Sababu Ya Sniper' Mmoja Wa Iraq'
-
Yani Huyo Sniper' Jifanye Kama Unajikuna Tu Unalo...John Cena Alikufa Akabaki Aron...Mziki Mnene Ukawa Hapo, Jamaa Alikaa Hapo Akihangaika Kama Siku Kadhaa' -
Maana Kila Akijaribu kuzoom Kujua Yupo Eneo Gani Huyo Sniper' Hamuoni Ila Akijikuna Tu Anastukia Kitu' Hahah...Usaidizi Ulikuja Lakini Ndani Ya Dakika Mbili, Viuno Vilitenguliwa..Shingo N.KView attachment 1165514
Naitafuta niiangalie
 
Back
Top Bottom