John Cena Pamoja Na Aron Taylor-Johnson...Kwa Pamoja Wakiongoza Katika Mchongo Huu...Ilitoka Mwaka 2017, Ni Mojawapo Ya Filamu Kali Sana.
-
Ubunifu Wa Hali Ya Juu, Asilimia 90% Setting Ilikuwa Ni Moja Tu.
Ninachokumbuka Ni Wanajeshi Wawili Wa Kimarekani Walikuwa Trapped'
-
Walikuwa Wamejificha Kwenye Ka Ukuta Fulani Ka Kawaida Tu, Walijificha Sababu Ya Sniper' Mmoja Wa Iraq'
-
Yani Huyo Sniper' Jifanye Kama Unajikuna Tu Unalo...John Cena Alikufa Akabaki Aron...Mziki Mnene Ukawa Hapo, Jamaa Alikaa Hapo Akihangaika Kama Siku Kadhaa' -
Maana Kila Akijaribu kuzoom Kujua Yupo Eneo Gani Huyo Sniper' Hamuoni Ila Akijikuna Tu Anastukia Kitu' Hahah...Usaidizi Ulikuja Lakini Ndani Ya Dakika Mbili, Viuno Vilitenguliwa..Shingo N.K
View attachment 1165514