Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume Hawana Dogo....Wampachika Mimba Rapper Chemical na Kumkimbia

#Mkatalunyatayarihuko

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napata wasi wasi sana na hii taarifa Mkatalunya
 
Hahaha watu watakuwa wamepita naye

#wahunisiyowatuwazuri
Hahah! Ngoja matomaso tusubiri kuona

Miezi saba nahisi itakua ni tumbo la maana hivyo wadau wangeshajua na kuvujisha kitambo sana...

Juzi tu alikua kwenye kubwa kuliko bby, kuna project walikua wanaitambulisha pia walimuhoji mengi ikiwepo issue ya Singasinga kuona na kuhusu kauli yake ya kujioa. Sababu aliyotoa nikwamba wanaume wengi sasa hivi wapo soft sana eti wanaandika msg " baby ushakua?, ushalala?, Jomoni nk
 
Ushaenda the dark web binti mpole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…