Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umetafutwa sana hapa. Tumemhenyesha mno sis akuachilie akawa anatucheka tu. Karibu tena kamanda na natumaini kilichokuwa kimekutinga umekimaliza salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole yake Kiggy,..

Niko sawa kabisa Bro,.. nafurahi kuwa hapa tena niliwakosa sana pia.

Mungu ni mwema, nimemaliza majukumu yangu salama kabisa🙏🙏🙏
 

I see.
Wajamaa waliotoroka walinikosha sana.Sidhani kama walikufa maji.Kama walikufa maji ingebidi angalau mmojawapo mwili upatikane.

Akili waliyotumia kutengeneza vinyago na kijidirisha cha kuziba shimo ni ya hali ya juu sana🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…