Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

66272019_867068610331050_8164994020499631693_n.jpg
 
According to AS, James Rodriguez is set to stay at Real Madrid despite the strong interest from Atletico Madrid and Napoli.

Perez wants to keep hold of the key players after the injury of Asensio and recent performances
 
Draxler ambaye ni raia wa Ujerumani anacheza kwenye klabu hiyo pamoja na nyota kadhaa wakiwemo Neymar - ambaye amekuwa akihusishwa na harakati za kurudi Barcelona - Kylian Mbappe na Edinson Cavani.
"Wachezaji wote hao ni wa kiwango kikubwa, ni vigumu kupata wachezaji wa kiwango hiki," Draxler ameiambia AFP.
 
Lakini wote wana vichwa vyao na akili zao. Wanauishi mpira, wanataka kufunga kwenye kila mechi, hivyo wanaubinafsi.
"Wakati mwengine (ubinafsi huo) hufanya mambo yawe magumu kwa timu nzima, lakini ukipata bahati ya kucheza nao, itakuwa ni jambo kubwa kwako kila siku."
 
Mkurugenzi wa michezo wa PSG Leonardo amesema Neymar anaweza kuondoka klabuni hapo "endapo itapatikana ofa itakayomridhisha kila mtu" baada ya mchezaji huyo kushindwa kuhudhuria siku ya kwanza ya mazoezi ya kujiandaa na msimu ujao hivi karibuni.
 
Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona kwa dau lililovunja rekodi la £200m mnamo mwezi Agosti 2017, lakini inaarifiwa kuwa hana furaha tena klabuni hapo.
Hatahivyo, mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Brazil yupo kwenye kambi ya timu hiyo inayofanya ziara nchini Uchina.
 
Mkondo wa bahari wa Hormuz, ni njia nyembamba inayopitia meli katika eneo la Ghuba ambalo limezungukwa na hali ya wasiwasi.
Meli mbili za wanamaji wa Uingereza kwa sasa ziko katika eneo hilo ili kuzilinda meli zinazopitia katika eneo hilo zikipeperusha bendera ya Uingereza.
 
Kwa nini mkondo huo ni muhimu?
Licha ya udogo wake, mkondo wa bahari wa Hormuz ndio njia muhimu zaidi duniani inayopitia meli.
Una urefu wa maili 96 na upana wa maili 21 katika eneo lake jembamba huku kukiwa na njia mbili za meli katika pande zote mbili zenye upana wa maili mbili.
Huku ukipakana na Iran upande wa kaskazini na Oman upande wa Kusini pamoja na UAE, mkondo wa Hormuz unaunganisha eneo la Ghuba na bahari ya Uarabuni.
 
Je ni kiwango gani cha mafuta kinachopitia eneo hilo?
Takriban mapipa milioni 21 ya mafuta kwa siku yalipitia mkondo wa Hormuz mwaka uliopita.
Mwaka 2016, mwaka ambao takwimu zinaweza kupatikana , mkondo huo ndio uliokuwa na biashara nyingi za mafuta.
 
Ukilinganisha na mapipa milioni sita kwa siku yaliopitia kupitia mfereji wa Suez Canal Bab el-Mandeb katika bahari nyekundu.
Mkondo wa bahari wa Hormuz ni muhimu kwa wauzaji wa mafuta katika eneo hilo, ambalo uchumi wake unategemea uzalishaji wa mafuta na gesi.
 
Mwaka 2018, Saudia iliuza takriban mapipa milioni 6.4 ya mafuta kila siku kupitia mkondo huo, huku Iraq ikituma mapipa milioni 3.4 , UAE mapipa milioni 2.7 na Kuwait mapipa milioni mbili.
Iran pia hutegemea sana njia hii kwa uuzaji wa mafuta ughaibuni.
Na Qatar, ambalo ndio taifa kubwa linalozalisha gesi ya maji ,huuza gesi yake kupitia mkondo huo.
 
Back
Top Bottom