Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I see.
Wajamaa waliotoroka walinikosha sana.Sidhani kama walikufa maji.Kama walikufa maji ingebidi angalau mmojawapo mwili upatikane.

Akili waliyotumia kutengeneza vinyago na kijidirisha cha kuziba shimo ni ya hali ya juu sana[emoji119][emoji119]
Kuna conspiracies nyingi kuhusu hao jamaa. Wengine wanasema kulikuwa na boti nje inawasubiri. Kuna wanaosema kwamba wiki hiyo nzima kulikuwa na mikondo mikali sana ya maji tena ya chini kwa chini na likely jamaa walikumbwa na mikondo hiyo wakafurushwa mpaka bahari kuu huko wakaliwa na papa. Wengine wanadai jamaa walikufa na miili yao ilipatikana ila ikafanywa siri. Kila mtu ana nadharia yake...
 
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Everton Idrissa Gueye, mwenye umri wa miaka 29, amepigwa picha akiwasili katika uwanja wa ndege Paris wakati mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal akikaribia kuelekea kujiunga na mabingwa wa Ufaransa Paris St-Germain. (RMC Sport kupitia Liverpool Echo)
 
Beki wa kushoto wa Paris St-Germain Stanley Nsoki, mwenye miaka 20, ana hamu ya kuhamia kwa timu iliyomfukuzia kwa muda mrefu Newcastle United, licha ya kwamba klabu hiyo bado ingali kufikia thamani iliyoitishwa na mabingwa hao wa Ufaransa ya £13.5m. (Newcastle Chronicle)
 
Winga wa Liverpool Ryan Kent hatoondoka Anfield tena kwa mkopo, na kuipa pigo matumaini ya timu bingwa ya Uskotchi Rangers ya kumsajili mchezaji huyo wa miaka 22 katika mgeuzi mengine ya muda mfupi. Hilo huenda likatoa fursa kwa Aston Villa au Leeds United kumpata Kent katika uhamisho wa £10m. (Daily Record)
 
Mabingwa Blackburn Rovers bado wana imani ya kumsajili beki wa kati wa Manchester City Tosin Adarabioyo, mwenye miaka 21, kwa mkopo wa msimu mzimu huku mchezaji wa Fortuna Dusseldorf Robin Bormuth, mwenye umri wa miaka 23, na wa Norwich Grant Hanley, wa miaka 27, huenda pia wakawasili. (Lancashire Telegraph)
 
Kuna conspiracies nyingi kuhusu hao jamaa. Wengine wanasema kulikuwa na boti nje inawasubiri. Kuna wanaosema kwamba wiki hiyo nzima kulikuwa na mikondo mikali sana ya maji tena ya chini kwa chini na likely jamaa walikumbwa na mikondo hiyo wakafurushwa mpaka bahari kuu huko wakaliwa na papa. Wengine wanadai jamaa walikufa na miili yao ilipatikana ila ikafanywa siri. Kila mtu ana nadharia yake...
I see,
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Hakuna kuaminiana ...

Wanaona ni bora wafe kuliko kupatiwa hii chanjo...
Screenshot_20190729-112533~2.jpeg
 
Back
Top Bottom