Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e15aef10-8cc4-46b7-b666-f9c49e8192d1.jpeg
 
Bro, salama?
Naona nguo zimekauka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1438701532516.jpeg
 
Wakati mwingine huchanganywa na dawa kama Aspirin na caffeine kama kwenye tembe za Hedex. Paracetamol hupatikana kama vidonge vya kunywa, dawa ya maji (syrup), vidonge vya kuweka njia ya haja kubwa (suppository) na ya maji ya dripu (intravenous).
 
Kunywa vidonge kwa maji yaliyopoa, nusu saa kabla au masaa 2 baada ya kula.

Kwa siku moja usitumie Paracetamol zaidi ya gramu 2.6 kwa mtoto chini ya miaka 12, gramu 3.75 kwa mtoto juu ya miaka 12 na gramu 4 kwa mtu mzima. Kuzidisha kiwango hiki cha dawa ya paracetamol kinaweza kusababisha madhara kwenye mwili hasa ufanyaji kazi wa ini.

Ikiwa homa ua maumivu yanaendelea zaidi ya siku 3 baada ya kutumia paracetamol nenda hospitali
 
Matumizi ya paracetamol katika dozi iliyoshaurishwa kwa kipindi kifupi yanaweza kuleta madhara kidogo au isilete madhara kabisa. Madhara yafuatayo yanaweza kutokea, hasa unapotumia kwa muda mrefu au yasitokee kabisa;
 
Back
Top Bottom