Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kunywa vidonge kwa maji yaliyopoa, nusu saa kabla au masaa 2 baada ya kula.

Kwa siku moja usitumie Paracetamol zaidi ya gramu 2.6 kwa mtoto chini ya miaka 12, gramu 3.75 kwa mtoto juu ya miaka 12 na gramu 4 kwa mtu mzima. Kuzidisha kiwango hiki cha dawa ya paracetamol kinaweza kusababisha madhara kwenye mwili hasa ufanyaji kazi wa ini.

Ikiwa homa ua maumivu yanaendelea zaidi ya siku 3 baada ya kutumia paracetamol nenda hospitali
 
Matumizi ya paracetamol katika dozi iliyoshaurishwa kwa kipindi kifupi yanaweza kuleta madhara kidogo au isilete madhara kabisa. Madhara yafuatayo yanaweza kutokea, hasa unapotumia kwa muda mrefu au yasitokee kabisa;
 
Nenda room 1001307[emoji3][emoji3]
Bro hufai aisee. Yaani nimecheka mpaka basi....Fyekero hilo. Kujichoresha tu na kujidhalilisha [emoji16][emoji16][emoji16]
4edacb6b-5c9b-4baf-8ee6-f4830b0b239a.jpeg
 
Kutumia Paracetamol (panadol) zaidi ya kiwango kilichoshauriwa au kunywa paracetamol nyingi kwa makusudi huleta madhara kwenye ini lako, na inaweza kupelekea ini kushindwa kufanya kazi (liver failure). Wahi kwenye kituo cha afya kama umekunywa paracetamol nyingi na unapata dalili kama kutapika, kichefuchefu, tumbo kuuma, kutokwa na jasho, manjano na moyo kwenda mbio.
 
Karibu bana, long time.
Mambo ya vacations nn?
Unataka kufuata mkondo wa Wakatalunya. Walikuja hapa wakiwa wapole sana mpaka tukawa tunasema vijana wa aina yake ajabu. Kumbe walikuwa bado wageni tu. Walipokuja kuzoea moto wao tumeushuhudia. "Wakorofi" ajabu...

Na wewe hapo mwanzo ulikuwa mpole huna maneno mengi. Umeanza kubadilika aisee...
 
Back
Top Bottom