Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Pitanae kwa ufupi hapa
Kuna mstari wa stereo anakwambia
Ukiona dada kaolewa ujue dada kanogewa
Pitanae kwa ufupi hapa
Wanaume kwa kweli kazi tunayo [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh kumbe watu wengi eeh,Napata tabu kuingia humu adi sasa, sijui ni kimeo changu tu?
#volumeikochiniongezakidogo hahaAkileta za kujipatia ubavu hapa tunamsemea kwa mai waifu wake. Kwa hilo hatutamvumilia kabisa [emoji36][emoji36][emoji36]
#Volumeikosawaamaniongezekidogo
Kwamba wanaume wa Dar wanataman apate mimba??Pitanae kwa ufupi hapa