Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hii Sudani bro,,haya ni maandamano ya wanafunzi,hii ni baada ya watoto na wanafunzi kupigwa risasi kwenye moja ya mikutano hivi karbuniWapi hii mkuu?
Good to see you VE [emoji4][emoji4]Mkuu hongera sana kwa kuikwaa hii namba kubwa ambayo wengi tulikuwa tunaiwania, hongera sana.
Hatari sana bro.... Mungu atuepushie pia awabariki huko wayamalize salama 🙏Hii Sudani bro,,haya ni maandamano ya wanafunzi,hii ni baada ya watoto na wanafunzi kupigwa risasi kwenye moja ya mikutano hivi karbuni
Kwa hiyo wanafunzi wakabidi kuandamana kupinga matukio hayo ya kushambuliwa risasi kwa wanafunzi wenzao,hali hii imepelekea shule zote zifungwe kwa muda.