Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Voda wanatoa ushirikiano kwa wadukuzi.
Wameanza kunipa ukakasi
Wadukuzi watu binafsi kama akina Musiba au ni serikali na vyombo vyake vya dola?

Sheria za nchi zinasemaje kuhusu ishu hii hasa kama serikali ndiyo wanataka habari zangu? Makampuni mengine wao wanafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…