FAIDA ZA ZABIBU KIAFYA
Zabibu ni matunda matamu yanayopendwa yakiwa na faida nyingi kiafya kwa mwili.
Kuna zabibu za rangi ya kijani, nyekundu na rangi kama nyeusi.
Unaweza kula zabibu kama matunda, zabibu zilizokaushwa (raisin) au kama juisi pia.
Zabibu hutumikana sana kutengeneza mvinyo (wine), sehemu mbalimbali duniani.
Faida za zabibu kiafya, hujumuisha kusaidia kuondoa kukosa choo, mmeng’enyo wa chakula kwenda vizuri, kupunguza uchovu/machofu, na kuzuia mtoto wa jicho pia.