ZABIBU PIA HUPAMBANA DHIDI YA MAGONJWA YA MOYO
Zabibu huongeza nitric oxide katika damu, ambayo huzuia damu kuganda, husaidia kuzuia mafuta kujirundika/kujikusanya katika mishipa ya damu, na ina kampaundi za flavonoids aina ya resveratrol na quercetin, ambazo husaidia kutoa sumu mwilini.
Yote haya, husaidia kupunguza hatari ya magonjwa moyo, na shinikizo la damu.