Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bwana kucha bana hahaha
Ningumu kuwamaliza wote bro labda ukae siku mbili utulie kuandaa list maana ata lile chibonge jipya lililokua linarushiwa Mahindi umelisahauMambo si ndio hayo sasa.
Hongera sana.
😂😂Bwana kucha bana hahaha
Nililikumbuka nikasema iliweki batch hii.Ningumu kuwamaliza wote bro labda ukae siku mbili utulie kuandaa list maana ata lile chibonge jipya lililokua linarushiwa Mahindi umelisahau
View attachment 1168790
Nasikia haka ka carbamazepine kalikuwemo humu. Uuwii, huu uvuvi unanikosesha mambo mengi sana sasa! This is for ya, carb! [emoji16][emoji124]♂[emoji124]♂
Hahahahahahahah,Mwananyamala kwa Kopa. [emoji16][emoji16]
Hii kweli Tanga embu check pozi la yule jamaa alielala kwenye mkeka limekaa kilaana laana tu
Hahahahahahahah,
Salama lakini bro?
Hiyo batch nyingine ndio itakua noma sasaNililikumbuka nikasema iliweki batch hii.
#ABigFatHen
#KutakuaNaBatchNyingine
Shwari namshukuru Mungu.Safi kabisa, niaje pande hizo?
Usihofu King.Hiyo batch nyingine ndio itakua noma sasa
#usisahau5☆
HahahUsihofu King.
#NyotaMabawaNewforce
#WeweIsubirieTuu
#UnaniponzaLakini