Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Naunga mkono hoja.Kuwa karibu na mwenzi wako
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa zaidi ya wanandoa 1000 wa nchini Uingereza, ulionesha kwamba wanandoa wanaolala bila nguo wana furaha zaidi kuliko wale wanaolala na nguo.