Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

King_Mkorofi
Binti_mpole
Wakatalunya
Mgumu
Mpendwa
Esta
Prof
Wasukuma
Jirani
Ve
Ankoo
Msafi
Kiggy
Wa_kishua
Majamaa
Kaka mkubwa
Mzee_mwenzangu
Prisca
List hii bado kabisa....

Ngosha The Don
Coco
Mtunza Kumbukumbu
Kazaramo
Mkurugenzi wa TRM
Mpenda Misambwanda

....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Quotes_Creator_20190731_162401~2.jpeg
 
Kulala vizuri

Hapa inaeleweka wazi kisayansi kuwa ili ulale vizuri mwili wako unahitaji kutulia, upoe, na ndio maana tunaoga kabla ya kulala, ili kupunguza joto mwilini, ukiwa umevaa nguo mwili wako unabaki kuwa na joto, na kukufanya ukose usingizi na kukosa utulivu, lakini ukilala bila nguo, unaruhusu mwili wako kupata hewa ya kutosha na kusaidia kupoza joto la mwili, na kukupa usingizi mzuri zaidi.
 
Ni mwezi mpya wakuu.

Kwa neema za Mungu tunaendelea na ngwe ya pili ya mwaka wa 2019.Inawezekana malengo/matarajio yetu bado hayajakaa sana;Tusikate tamaa, tupambane kutafuta ufumbuzi/utatuzi wa changamoto tunazokutana nazo na ninaamini tutafanikiwa.Binafsi nawatakia mwezi mwema wa August;Mfanikiwe katika kila mfanyalo, amani,furaha na upendo viambatane nanyi daima.
 
Hii ni kwa sababu mawasiliano ya ngozi kwa ngozi bila kujihusisha na tendo la ndoa ni bora zaidi na kukufanya akili itulie na kukufanya ujihisi vizuri zaidi, na kuondoa mawazo yote. Pia husaidia kupunguza uwezekanao wa kupata maradhi ya moyo na kukufanya uwe mwenye furaha.
 
Kupunguza uzito

Utaona kama ni jambo la ajabu kuwa kulala bila nguo kunahusiana vipi na kupunguza uzito!?. Lakini ukweli ni kwamba ukiwa unalala 'uncomfortable', utakuwa na stress zaidi ambazo zitakusababisha kula vyakula ambavyo havifai kwa afya ya mwili, ili tu ujifurahishe.
 
Back
Top Bottom