Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alisema ni bora wambadili cheo na kumuita “kocha mkuu” tu wala si “Meneja wa Spurs”.

Tottenham walivunja rekodi yao ya usajili katika dirisha hili la uhamisho kwa kumsajili kiungo Tanguy Ndombele na winga Jack Clarke, ambaye amerejeshwa Leeds kwa mkopo wa msimu mmoja.
 
Alipoulizwa kama anataka apewe jukumu la kusimamia uhamisho wa wachezaji, Pochettino alisema: “Pengine klabu inapaswa kubadili jina la cheo changu, kwa sababu kazi yangu ni kufundisha timu. Siyo suala langu, ni suala la klabu. Pengine klabu itabadili jina la cheo changu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…