myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Afadhali....Hatujambo
Afadhali....Hatujambo
Hahah! Hawaoni kama sisi
Bro kwema?Sasa hapo huu upuuzi wanaokuanao unaletwa na nini, hao wachungaji wanayo nguvu ya ziada kupumbaza waumini wao au ni imani binafsi tu ya waumini?
Kidogo bro😀Kumbe unajua soccer bro
#mmhahahha ngumi tena
#hizomidadisasa
Huku koromije enzi hizo kulikua na gazeti la msaniiafrika aisee lilikua na riwaya moto moto hasa za kipelelezi,sikukosa kila toleo lilipokua linatoka. Wale waandishi wana kipaji adimu unasoma huku anajihisi upo eneo la tukio au unashuhudia movie flan matata
👏👏👏👏safiiii....hujamboWasap everibadeeey