Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ipo siku mwanga utapenya ndani ya vyumba vyenye giza na kweli itajulikana
Ndiyo kamanda. Kitabu cha Chariots of The Gods cha Erich Von Daniken kimeeleza vizuri sana baadhi ya mambo haya; na ndiyo msingi hasa wa kipindi cha "Ancient Aliens" kinachorushwa na History Channel. Kuna mengi ambayo hatuyajui na wanasema kuwa kila kitu kimefichwa katika makabrasha ya siri katika vyumba vya giza kule Vatican....
View attachment 1171201
 
FB_IMG_1564832385211.jpeg
 
Kiungo wa kati wa kimataifa wa Ureno Bruno Fernandes, anayehusishwa na taarifa za kuhamia Tottenham na Manchester United, ameliambia gazeti la Sporting Lisbon kuwa anataka kuondoka kwenye klabu hiyo msimu huu . Sporting wanaamini atataka euro milioni 70 au pauni £64m kwa ajili ya nahodha huyo mwenye umri wa miaka 24 . (Record, via Mirror)
 
Back
Top Bottom