Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hellow
66654791_478939126229535_264897088126265566_n.jpg
 
Manchester United wanahangaika kufikia makubaliano na mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, mwenye umri wa miaka 25, na muwakilishi wake, na hivyo kuuweka hatarini mkataba na Juventus wa kubadilishana mchezaji wa safu ya mashambulizi Mbelgiji Romelu Lukaku, mwenye umri wa miaka 26. (Independent)
 
Kwenye mafundisho furani tunaambiwa kulikuwa na kizazi kilikuwa na maarifa mengi kuliko tuliyonayo sasa.
Ingawa Dunia haijakili hilo, lakini kuna ushahidi mwingi Duniani unaothibitisha jambo hilo
Ndiyo kamanda. Kitabu cha Chariots of The Gods cha Erich Von Daniken kimeeleza vizuri sana baadhi ya mambo haya; na ndiyo msingi hasa wa kipindi cha "Ancient Aliens" kinachorushwa na History Channel. Kuna mengi ambayo hatuyajui na wanasema kuwa kila kitu kimefichwa katika makabrasha ya siri katika vyumba vya giza kule Vatican....
9780425166802.jpeg
 
Mlizi wa England Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 26, ameachwa nje ya kikosi cha Leicester kitakachocheza mechi ya urafiki baina yao na Atalanta Ijumaa kutokana na hali ya sintohfahamu juu ya hali ya yake ya baadae na Foxes wanaotaka mkataba wa pauni milioni 90 ikiwa Manchester United wanasaini mkataba nae. (Telegraph)
 
Dau la sasa la Manchester United kwa ajili ya Maguire ni la thamani ya pauni milioni 80 na klabu hiyo inaweza kutumia zaidi ya pauni milioni 150 kwa ujumla kabla ya kipindi cha mwisho cha mchakato wa uhamisho kukamilika (Independent)
 
Tottenham wanauangalia mkataba kwa ajili ya kiungo wa kati wa Sporting Lisbon na Ureno Bruno Fernandes, mwenye umri wa miaka 24, kama kiungo mbadala wa mchezaji wa Real Beti -Giovani Lo Celso, mwneye umri wa miaka 23. (Evening Standard)
 
Back
Top Bottom