moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nimebaki mimi na yego tuu.
#chezaKukangiLugola😀😀😀
Antonov hilo bila shaka....
Kuna mengi yamefichwa kuhusu hii teknolojia ya zamani. Bado hakuna anayejua jinsi mawe ya tani mpaka 50 yalivyopandishwa juu ghorofa ya 30 katika mapiramidi huko Misri. Kule Mexico kuna mawe makubwa mpaka tani mia yamejengwa juu huko lakini yameunganishwa pamoja kwa kutumia joto kali sana na mgandamizo mkubwa mpaka yanaonekana kama vile ni jiwe moja. Hata kwa teknolojia ya sasa ya kutumia lasers na mashine za kisasa ni vigumu sana kufikia ufanisi wa aina hiyo. Lakini yote hayo yalifanywa na watu wa kale ambao tunaambiwa kuwa hawakuwa na mashine na walikuwa wanatumia dhana hafifu za chuma.
Si ajabu Japan hii au Indonesia. Ndiyo zao hizi...
Mungu akawe nawe na kuzibariki kazi za mikono yako mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kumekucha na kwenda kusaka mkate wangu wa kila siku baba nashukuru
Kuna mengi yamefichwa kuhusu hii teknolojia ya zamani. Bado hakuna anayejua jinsi mawe ya tani mpaka 50 yalivyopandishwa juu ghorofa ya 30 katika mapiramidi huko Misri. Kule Mexico kuna mawe makubwa mpaka tani mia yamejengwa juu huko lakini yameunganishwa pamoja kwa kutumia joto kali sana na mgandamizo mkubwa mpaka yanaonekana kama vile ni jiwe moja. Hata kwa teknolojia ya sasa ya kutumia lasers na mashine za kisasa ni vigumu sana kufikia ufanisi wa aina hiyo. Lakini yote hayo yalifanywa na watu wa kale ambao tunaambiwa kuwa hawakuwa na mashine na walikuwa wanatumia dhana hafifu za chuma.
Kuna maarifa yamefichwa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana mwema