Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ipo siku mwanga utapenya ndani ya vyumba vyenye giza na kweli itajulikana
 
Kiungo wa kati wa kimataifa wa Ureno Bruno Fernandes, anayehusishwa na taarifa za kuhamia Tottenham na Manchester United, ameliambia gazeti la Sporting Lisbon kuwa anataka kuondoka kwenye klabu hiyo msimu huu . Sporting wanaamini atataka euro milioni 70 au pauni £64m kwa ajili ya nahodha huyo mwenye umri wa miaka 24 . (Record, via Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…