Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
So what?attention!!!!! naaanza kugawa likes
Nakuaminia kamandaattention!!!!! naaanza kugawa likes
kwem kbs mkuu, ni mwendo wa likes za wikiendNakuaminia kamanda
Kwema lakini?
Sisi kwa sisi tukilana, safari ni lazima iendelee?
Ndiyo mkuu. Mungu Atubariki sote [emoji1545][emoji1545]kwem kbs mkuu, ni mwendo wa likes za wikiend
Asante bro. Nikiri tu kuwa hiyo siyo kauli yangu. Nadhani ni kauli ya askari mmoja wa Kifaransa aliyekuwa anapigana vita visivyo na maana kule Algeria. Alishangaa kwamba hata baada ya ushindi kupatikana yeye hakuona faida yo yote ya vita vile.Inafikirisha zaidi Asante kwa kuniongezea kitu muhimu sana hiki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]