Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Asante sana bro...Pole mafua bro,
Nimeangalia kuanzia dk ya 59.
Huko umeangalia muda tunateswa hii game sisi tuliitawala kipindi cha kwanza tu
Asante sana bro...Pole mafua bro,
Nimeangalia kuanzia dk ya 59.
Klopp vs pep
Mmmh acha hizo banaAta bila Mane jamaa wapo vizuri sana hasa kipindi cha pili City kapata tabu mno
Pale EPL msumu huu tena wafalme ni City na Liver kama msimu jana
Hahah! Niamini mimiMmmh
Mmmh acha hizo bana
You deserve to be smiling VE not once in a while but ALL THE TIME [emoji7][emoji8]
Yeah, kipindi cha pili Liver walikua vizuri zaidi.Asante sana bro...
Huko umeangalia muda tunateswa hii game sisi tuliitawala kipindi cha kwanza tu
Kijana mpole haujambo?[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]