moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Angalau....
View attachment 1172360
[emoji8][emoji8][emoji8]Yes youβre VE.
Ufafanuzi safi kabisa kamanda [emoji122][emoji122][emoji122]Mbovu, maana "mvumbika changa hula mbovu"
Changa ukiziweka huoza
Ni feki news kamanda kama za CNN na Fox News [emoji16][emoji16]Ni kweli au kaongeza na mto?
Kazi unayo ya kugonga likes tena pevuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeenda deep sana mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Pale mmeahidiana kukutana na mrembo sehemu ili mle BATA halafu hatokei [emoji6][emoji6]
Wanamkorofisha...Fake News ...
View attachment 1172298
Kuna mtu leo kanipa makavu mpaka nikashtuka. Eti....Poleni matajiti[emoji1787][emoji1787]
Pole sana! Na karibu tena
Siku imekwendaje huko.?