moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ni feki news kamanda kama za CNN na Fox News [emoji16][emoji16]
[emoji818]Just BEAUTIFUL!
[emoji106][emoji106]
Kuna mtu leo kanipa makavu mpaka nikashtuka. Eti....
"Hakuna mtu mwenye hela anayeshinda JF akila likes"
Kauli hii imeninyima raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli..Uji ukiwa moto haupozwi kwa ncha ya ulimi.
[emoji3][emoji3][emoji3] pole sanaKuna mtu leo kanipa makavu mpaka nikashtuka. Eti....
"Hakuna mtu mwenye hela anayeshinda JF akila likes"
Kauli hii imeninyima raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]