BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kuna mtu leo kanipa makavu mpaka nikashtuka. Eti....
"Hakuna mtu mwenye hela anayeshinda JF akila likes"
Kauli hii imeninyima raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo mnyama ndiye ngekewa?
Huku pia, tunashukuru Siku inakwenda ukingoni mkuu
Mkuu wapuuzi wasikuumize kichwa. Fanya yako.
Kijana mpole haujambo?
Hapo umeshafanya usafi wa hatari 😀😀😀Hahahahaha, hiyo ni kweli bro[emoji23][emoji23]
Baada ya safari ndefu ya masaa 23 hatimaye nimefika mwisho[emoji120][emoji120]