Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564955071415.jpeg
 
The damage is already done tena globally. Nationalistic politics sasa zimetawala dunia nzima na chuki dhidi ya wahamiaji ni kila kona. Marekani kwenyewe kajaza majaji wenye mrengo wake katika mahakama zote kuu; na akipata miaka mingine minne naamini ataweka jaji mwingine mmoja au wawili mahakama kuu (supreme court). Ginsburg ni mzee sana na afya yake siyo nzuri sidhani kama atamaliza miaka mingine minne akiwa kazini bila kustaafu. Akiongeza jaji mwingine tu mhafidhina basi kwisha kazi.

Obama na ma democrat wenzake hawakumchukulia siriazi jamaa na matokeo yake ndo haya. Obama aliwahi kusema kabisa kuwa eti jamaa hatakaa awe rais...

2020 pia hakuna wa kumshinda na jamaa alivyo immune kwa maskendo sijui mpaka kitokee nini. It is a rough ride !!!
Halafu ukiangalia kwa undani hata europe, kuna wimbi la right wing kupanda chati hasa baada ya immigrants kuwa wengi.
Screenshot_20190805-081059_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom