Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salam bro.Salam kwenu wote
Salam bro.Salam kwenu wote
Salama bro?Asante sana..... mafua yanazingua sana
#Msimutunauanzavizuri
Kumbe ulichukua side ya Liver jana eeeeh 😀😀😀Daima team handsome huwa naipa kipaumbele. Hope Alexander anord atacheza leo [emoji23][emoji23]
#wasionehapakingnabradha
Amen,Kila mmoja akawe na Jumatatu yenye baraka[emoji120][emoji120][emoji120]
Hadi unatamani pawe na namna ya kutuma likes/thanks kwa mpigo mmoja.Uzi huu ukitoka kidogo tu ukirudi unakuta hata hujui uanzie wapi. Jizazi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Thanks for sharing Numby.
Asalam alaykum mpendwa
Swari mkuu.. kwako je?Good morning!
Ahueni bro, vipi huko?Salama bro?
Ahueni au umepona kabisa?
😂😂😂😂😂HAYA JUMATATU NDO HII TUKAFANYE KAZI.....WATANZANIA TUFANYE KAZI JAMANI
Fatilia hiyo assist broThanks for sharing Numby.