myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh h!Ai giva pu...
Zizi izi ze limit raiti hia...
Heshima ya ukoo ziiiii.... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1173096
Asante Mkatalunya....Mkatalunya pole na Mafua
#shushianahii
Aisee,,inasikitisha sanaMsanii Ziggy Wine wa Uganda, Auawa Kikatili... Mwanamuziki wa nchini Uganda, Ziggy Wine ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’ ya mwanamuziki/mwanasiasa Bobi Wine amefariki dunia usiku wa jumapili tarehe 4, Augusti 2019. Ziggy Wine ambaye jina lake halisi ni Michael Kalinda amefariki baada ya kutekwa tarehe 21 July na kupigwa vibaya alipokuwa njiani akielekea studio za Firebase Crew, inaelezwa kuwa baada ya watekaji kukamilisha unyama huo walimtupa pembezoni mwa hospitali ya Mulago iliyopo Jijini Kampala ambapo alikutwa akiwa amejeruhiwa vibaya huku jicho lake la kushoto likiwa limetobolewa, vidole vyake vya mkononi vikiwa vimekatwa.
Hahahaha nmemsaidia broHahah! Mzee kumbe na wewe mtunza kumbukumbu ......
Ila wasukuma noma eti Jusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie watu mnachekesha sana
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king
#sipatipichapamojanaushindi
#usikuhaukuufaidi
Pole kwa mafua. Shuain zake man city na barca
Aiseee mapenzi ni upofu yaani mpira 2 kwa moja napo mnajisifia duh.Hahah!
#Usikusikufaidinini
#UmeonaArsenalwalivyooneshwahawawezimpira
Asante sana binti mpole
Umetisha sana mzeeHahahaha nmemsaidia bro
Umeona Jusi tu?kuna Sada pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli bro,taratibu wanabadirika,sema itakuwa hawafanyi usajiri wa nguvuUmetisha sana mzee
Kiwanja kuzuri huduma mbovu mpaka uandishi
Asante Mkatalunya....
Hii ni kazi mpya?