Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahaha nilivyoona quote yako nikajua unataka kulalamika kuhusu vimbau mbau maana weye unapenda ile mijimama yenye manyama nyama kila kona maana utamu wao haulezeki 😎

Yawezekana ni ishu za hii TECNO yangu tu. Haina neno. Mi nagonga likes tu japo nahisi kama napitwa na uhondo hasa kama ni yale mambo yetu ya kusifu na kushangilia maajabu ya uumbaji.
 
hahahahahaha nilivyoona quote yako nikajua unataka kulalamika kuhusu vimbau mbau maana weye unapenda ile mijimama yenye manyama nyama kila kona maana utamu wao haulezeki 😎

"...weye unapenda ile mijimama yenye manyama nyama kila kona maana utamu wao hauelezeki

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Sina la kuongezea kamanda. Umemaliza kila kitu [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…