Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kawaida katika uzi wetu huu. Majukumu yakikuzidi unapotea halafu yakipungua unarudi. Naamini ni mzima na atarudi tu...Mie sijamuona tangu nirudi kifungoni. I hope she is okay and taking care of important stuff in our daily lives.
Ni kawaida katika uzi wetu huu. Majukumu yakikuzidi unapotea halafu yakipungua unarudi. Naamini ni mzima na atarudi tu...
Baadhi ya Watanzania kwa kuamini miujiza wako vizuri sana. Mpaka waheshimiwa walitia mguu kwenda kuonja kikombe cha Babu.