Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Wakusoma poleni sana
Poleni walezi wetu..
Wasafiri wote mfike salama
Poleni wagonjwa..Mungu awaponye
M-google uone.
Maneno ya Kizazi kipya😅Hahahh
Hahahha aiseee
#konokononaparachichi
Wakenya mna mambo
Huyo imenichanganya kidogo.Heeee, [emoji23][emoji23]
Mkuu, Hivi wewe ni "Ke" au "ME"
Niko salama. Masaa yangu imekaribiaSalama bro, kwema?
Naona mida yako imefika.
#UtaniponzaWewe