Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuongezeka huku kwa misuli ya moyo husababisha vyumba vya moyo kuwa na nafasi ndogo ya kupokea damu na pia kushindwa kusukuma vizuri damu.
Indeed walahi kuuliza sio ujingaKwani unatafuta Radha gani Binti Mpole
#kuulizasiujinga
ASANTE Binti Mpole [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani ya mwili Dk. Meshack Shimwela amesema zipo sababu tofauti zinazosababisha vifo vya ghafla, baadhi ikiwa ni maradhi ya moyo, mapafu, ubongo, mfumo wa upumuaji na wakati mwingine sumu.
sante sana baba🙂😀Asante sana mkuu. Ni habari muhimu hasa kwetu wanaume.
Kwa wanaume tu:
Link hiyo ina maoni ya jumla kuhusu tafiti mbalimbali za kisayansi kuhusu ngono na kansa ya tezi dume. Haya yameainishwa:
1. Katika utafiti mkubwa uliohusisha wanaume zaidi ya 32, 000 waliofuatiliwa kwa miaka 18 iligundulika kuwa wanaume wanaopiga mabao angalau 21 kwa mwezi walikuwa na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20.
2. Haijalishi kama mabao hayo yalitokana na ngono, CHAPUTA na hata ndoto nyevu.
Kwa hivyo kupiga mabao mengi (angalau 21 kwa mwezi) kunapunguza hatari ya kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20. Wanasayansi hawajui kwa nini inakuwa hivi japo wanadhani kwamba pengine mabao hayo husaidia kusafisha mirija na hata kuondoa mrundikano wa kemikali korofi katika prostate.
3. Hawajajua kama kuna uhusiano wa moja kwa moja (cause-effect relationship) kati ya kupiga mabao mengi na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume.
4. Bad news kwa CHAPUTA...Utafiti mwingine mdogo umeonyesha matokeo kinyume. Utafiti huo ulionyesha kuwa vijana wanaopiga mapunyeto sana wako katika hatari zaidi ya kupata kansa ya tezi dume huko mbele ya safari.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwa kifupi ni hayo tu. Nadhani habari hizi ni muhimu hasa kwetu "majamaa" [emoji16][emoji16][emoji16]
Kando ya Ziwa Nyasa (maana hamkawii kusema kuwa hilo ni Ziwa Nyanza) [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahha aiseeeWamyonyezi na wamlambezi ni team mbili tofauti moja ni ya kunyonya na ingine ni ya kulamba Lolo