Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichuguuu ni mzigo na toroli
Mpaka nguo inataka pasuka
[emoji23][emoji23] ooh guys i don't lie flat screen tunapendeza sanaaaa[emoji125][emoji125]
Tangu lini umekuwa flat screen wewe? Acha kudanganya watu hapa [emoji125][emoji2536]‍[emoji3603][emoji125][emoji2536]‍[emoji3603][emoji125][emoji2536]‍[emoji3603]
 
WhatsAppStory+15b2b379-f.jpg
wooiiii
 
Asante sana mkuu. Ni habari muhimu hasa kwetu wanaume.

Kwa wanaume tu:

Link hiyo ina maoni ya jumla kuhusu tafiti mbalimbali za kisayansi kuhusu ngono na kansa ya tezi dume. Haya yameainishwa:

1. Katika utafiti mkubwa uliohusisha wanaume zaidi ya 32, 000 waliofuatiliwa kwa miaka 18 iligundulika kuwa wanaume wanaopiga mabao angalau 21 kwa mwezi walikuwa na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20.

2. Haijalishi kama mabao hayo yalitokana na ngono, CHAPUTA na hata ndoto nyevu.

Kwa hivyo kupiga mabao mengi (angalau 21 kwa mwezi) kunapunguza hatari ya kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20. Wanasayansi hawajui kwa nini inakuwa hivi japo wanadhani kwamba pengine mabao hayo husaidia kusafisha mirija na hata kuondoa mrundikano wa kemikali korofi katika prostate.

3. Hawajajua kama kuna uhusiano wa moja kwa moja (cause-effect relationship) kati ya kupiga mabao mengi na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume.

4. Bad news kwa CHAPUTA...Utafiti mwingine mdogo umeonyesha matokeo kinyume. Utafiti huo ulionyesha kuwa vijana wanaopiga mapunyeto sana wako katika hatari zaidi ya kupata kansa ya tezi dume huko mbele ya safari.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwa kifupi ni hayo tu. Nadhani habari hizi ni muhimu hasa kwetu "majamaa" [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom