Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23903064-c1d6-4762-94cb-9297b6625e73.jpeg
 
Huyu ndiye mnyama anayedaiwa kuwa na Bahati,
Inadaiwa ukijiweka karibu na mnyama huyu au mabaki yake basi hakuna utakachokosa hapa Duniani.
Kutokana na hilo watu wengi wametapiliwa ili kumpata mnyama huyo au mabaki yake.
Hata hivyo mnyama huyu huonekana mara chache au huenda hapatikani kabisa Tanzania, lakini wamejaa kando ya Mito na vijito vya Pori la Amazon na hivyo kuwa chakula maarufu cha JaguarView attachment 1172932
Kumbe huyu ndiye ngekewa?
 
Na Anaconda huwameza sana hao
 
Asante sana mkuu. Ni habari muhimu hasa kwetu wanaume.

Kwa wanaume tu:

Link hiyo ina maoni ya jumla kuhusu tafiti mbalimbali za kisayansi kuhusu ngono na kansa ya tezi dume. Haya yameainishwa:

1. Katika utafiti mkubwa uliohusisha wanaume zaidi ya 32, 000 waliofuatiliwa kwa miaka 18 iligundulika kuwa wanaume wanaopiga mabao angalau 21 kwa mwezi walikuwa na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20.

2. Haijalishi kama mabao hayo yalitokana na ngono, CHAPUTA na hata ndoto nyevu.

Kwa hivyo kupiga mabao mengi (angalau 21 kwa mwezi) kunapunguza hatari ya kupata kansa ya tezi dume kwa asilimia 20. Wanasayansi hawajui kwa nini inakuwa hivi japo wanadhani kwamba pengine mabao hayo husaidia kusafisha mirija na hata kuondoa mrundikano wa kemikali korofi katika prostate.

3. Hawajajua kama kuna uhusiano wa moja kwa moja (cause-effect relationship) kati ya kupiga mabao mengi na uwezekano mdogo wa kupata kansa ya tezi dume.

4. Bad news kwa CHAPUTA...Utafiti mwingine mdogo umeonyesha matokeo kinyume. Utafiti huo ulionyesha kuwa vijana wanaopiga mapunyeto sana wako katika hatari zaidi ya kupata kansa ya tezi dume huko mbele ya safari.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwa kifupi ni hayo tu. Nadhani habari hizi ni muhimu hasa kwetu "majamaa" [emoji16][emoji16][emoji16]

Mara 21 kwa mwezi Aisee wabaki na utafiti wao Tu habari hizi kwetu wagumu kama hatuzioni vile [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Duma ni mnyama jamii ya paka ambae watu wengi sana humfananisha na chui na hatimae wanapomuona humuita chui. Laahasha kumbe ni tofauti kabisa na chui. Hivyo basi ni matumaini yangu kupitia darasa hili utaweza kumjua duma lakini pia kuweza kumtofautisha duma na chui kwa haraka zaidi hata pale unapomuona mmoja wapo.
 
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom